Safari ya Kimataifa inazidi kunoga kwa Yanga baada ya leo kuingia makubaliano ya ushirikiano na klabu ya Raja Athletic, mabingwa wa Morocco
Taarifa iliyotolewa na Yanga, imebainisha kuwa ushirikiano huo utahusisha masuala mbalimbali ya maendeleo
Raja Club ni miongoni mwa klabu kongwe na ina mafanikio makubwa kwenye soka la ushindani barani Afrika
Hatua nzuri kwa Yanga..!
0 Comments:
Post a Comment