Thursday, 7 June 2018

England yaitandika Costa Rica 2-0

Phil Jones (juu) na Nahodha Jordan Henderson (kulia) akimpongeza mchezaji mwenzao, Marcus Rashford baada ya kuifungia England bao zuri la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya  Costa Rica jana Uwanja wa Elland Road mjini Leeds, West Yorkshire kujiandaa na Kombe la Dunia. Bao la pili lilifungwa na Danny Welbeck dakika ya 76 

0 Comments:

Post a Comment