Monday, 16 July 2018

Dalili za ugonjwa wa pumu


Dalili

Kupata shida wakati wa kupumuaSauti ya kukoroma wakati unapumuaKikohoziMsongamano kifuaniKujisikia umechoka wakati ukifanya kazi yoyote ya nguvuHoma na vikohozi vya mara kwa maraKukosa utulivu katika usingizi

Vitu vinachosababisha au kuamsha Pumu

Tumbaku/sigaraSabubu za kimazingira kama uharibifu wa hewa sababu ya viwandaUzito uliozidiMfadhaiko/Stress, sononeko, na huzuniKurithiMaambukizi mapafuni wakati wa utotoniKuzaliwa mapema/njitiBaadhi ya vyakula kama samaki, soya, mayai, korosho nkMazoeziKiunguliaAleji 

0 Comments:

Post a Comment