Kikosi cha Simba tayari kimeanza kujifua kwa ajili ya msimu wa 2018/19 pamoja na michuano ya Kimataifa.
Jana Simba imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam ambapo habari njema ni kurejea kwa wachezaji wake waandamizi.
Mganda Emanuel Okwi ni miongoni mwa wachezaji waliohudhuria mazoezi hayo yanayosimamia na Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Masudi Djuma
0 Comments:
Post a Comment