MSHAMBULIAJI nyota wa Simba Emmanuel Okwi amerejea nchini jana usiku tayari kuungana na timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mapumziko ya tangu Mei.
Okwi ambaye ni mume wa Florah Woods alikuwa kwao Uganda katika mapumziko marefu ya baada ya msimu na sasa ataungana na wachezaji wenzake kwa safari ya Uturuki kwenda kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya.
Okwi ameingia usiku wa jana na yuko tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya
Alisema mbali na Okwi pia mshambuliaji wao mwingine mpya, Meddie Kagere raia wa Rwanda mzaliwa wa Uganda, atarejea kesho baada ya kwenda kwao Jumamosi kuweka mambo yake sawa.
Monday 16 July 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment