Saturday 21 July 2018

Ratiba ya Yanga mzunguko wa kwanza VPL

Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2018/19 inaanza rasmi August 22, 2018 huku Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa kwanza mkoani Morogoro dhidi ya Mtibwa Sugar August 23, 2018.

Kabla ya mchezo huo, August 19 Yanga itakuwa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Algar utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa.

Hii hapa michezo yote ya ligi, duru ya kwanza kwa msimu wa 2018/19.








0 Comments:

Post a Comment