Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imepitisha kanuni za kuruhusu usajili wa idadi ya Wachezaji 10 wa Kigeni katika Ligi Kuu kuanzia msimu ujao.
Wachezaji hao wanaweza kutumika wote kwa wakati mmoja.
Maamuzi hayo yametangazwa na Rais wa TFF Wallace Karia kwenye Mkutano na Waandihsi wa Habari uliofanyika leo Julai 12,2018 Makao Makuu ya TFF Karume,Ilala jijini Dar es salaam
0 Comments:
Post a Comment