Mchekeshaji mkongwe nchini mzee Majuto amefariki dunia leo Agosti 8 saa mbili usiku huu baada ya kulazwa siku chache zilizopita katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Mtoto wake aitwaye Abuu amethibitisha habari hizi
Wednesday 8 August 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment