Friday 10 August 2018

Namungo FC Vs Simba today at Majaliwa stadium

Simba itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo FC leo Jumamosi, August 11 2018.

Baada ya kuwasili, Simba ilifanya mazoezi kwenye uwanja wa Majaliwa, uwanja ambao mabingwa hao wa Tanzania Bara wamealikwa kwa ajili ya kuuzindua.

Uwanja huo wenye ubora wa hali ya juu ujenzi wake umefanikishwa kwa kiasi kikubwa na Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa.

0 Comments:

Post a Comment