Jioni ya leo kikosi cha Yanga kilifanya mazoezi yake ya mwisho tayari kuwavaa Mawenzi Fc kesho kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga, hakuna majeruhi yeyote kuelekea mchezo huo.
Mchezo huo maalumu wa kumuaga mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro', utatanguliwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali zitakazoanza saa tatu asubuhi.
0 Comments:
Post a Comment