Mchezo wa pili wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba utapigwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Yanga ikiwa mwenyeji wa mchezo huo.
TFF imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 11 jioni

0 Comments:
Post a Comment