Mabosi wa PSG wameanza mazungumzo na Kocha Jose Mourinho kuangalia uwezekano wa kupata saini yake ya kuwatumikia matajiri hao wa Ufaransa.
Wakati Radio Monte Carlo Mshauri wa michezo wa Paris Saint-Germain, Luis Campos amefanya mazungumzo na wakala wa Mourinho kuangalia uwezekano wa kumpa kandarasi kipindi hiki cha majira ya joto.
Inadawai Kocha huyo wa Roma anayemaliza muda wake mwaka 2024 anavutiwa na timu ya Paris Saint-Germain na dili hilo limefikia patamu.
0 Comments:
Post a Comment