Wednesday 12 July 2023

Ratiba Ya Kombe La Mabingwa Africa Pamoja Na Kombe La Shirikisho Africa

✍🏿 Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limetoa ratiba ya mashindano ya klabu bingwa barani Afrika pamoja kombe la shirikisho barani Afrika.

✍🏿Hatua za awali zitapigwa kati ya tarehe 18 na 20 Agosti 2023, mechi za marudiano ni tarehe 25 na 27 Agosti 2023

✍🏿Raundi ya kwanza itapigwa tarehe 15 na 17 Septemba 2023, mechi za marudiano ni tarehe 29 Septemba 2023 na tarehe 1 Oktoba 2023

✍🏿Hatua ya Makundi yatafanyika kuanzia tarehe 24 na 26 Novemba 2023 na mechi za mwisho za makundi zitafanyika tarehe 1 na 3 Machi 2024.

✍🏿Robo fainali mechi za mwanzo ni tarehe 29 na 31 Machi 2024 na marudio ni tarehe 5 na 7 Aprili 2024

✍🏿Nusu fainali mechi za awali ni tarehe 19 na 21 Aprili 2024 na mechi za marejeo ni tarehe 26 na 28 Aprili 2024.

✍🏿kombe la shirikisho Fainali mechi za mwanzo  ni tarehe 10 na 12 Mei 2024 na 17 na 19 Mei 2024 (Nyumbani na Ugenini), Kombe la Shirikisho.

✍🏿Ligi ya Mabingwa fainali mechi za mwanzo ni Kati ya tarehe 17 na 19 Mei 2024 na 24 na 26 Mei 2024. (Nyumba na ogenini).

✍🏿Kumbuka Tanzania itawakilishwa na Simba na Yanga katika ligi ya mabingwa barani Afrika Azam na Singida FG kombe la shirikisho barani Afrika.


0 Comments:

Post a Comment