Thursday, 3 July 2025

CAF Yatangaza Kanuni Mpya Ligi Ya Mabingwa Africa Na Kombe La Shirikisho

CAF imetangaza kanuni kuu kabla ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho msimu wa 2025/26:

๐Ÿ“Œ Julai 31: Tarehe ya mwisho kwa mashirikisho ya wanachama kuwasilisha vilabu vitakavyoshiriki

๐Ÿ“‹ Vilabu vinaweza kusajili wachezaji hadi 40

๐Ÿ” Substitution 5 kwa kila mechi | Wachezaji 9 benchi

๐Ÿ•’ Wachezaji wapya waliopatikana kwenye dirisha la usajili la Januari lazima wasajiliwe saa 72 kabla ya mechi ili waweze kucheza

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Nchi 12 zenye nafasi ya kuingiza vilabu viwili kwa kila mashindano:

Aljeria, Angola, Cรดte d’Ivoire, Misri, Libya, Morocco, Nigeria, DR Congo, Afrika Kusini, Sudan, Tunisia, na Tanzania.

0 Comments:

Post a Comment