Wednesday, 2 July 2025

Tetesi Za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi

 ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Christian Mosquera amekataa mkataba mpya kutoka Valencia! ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

 Beki huyo chipukizi ana ndoto moja tu — kujiunga na Arsenal! ๐Ÿ˜ฎ
✅ Ameshakubaliana masharti binafsi na Arsenal siku chache zilizopita! 
๐Ÿ“‘ Mkataba uko tayari! 
๐Ÿ“ž Mazungumzo kati ya vilabu yapo hatua nzuri! 
๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Wakala wa Rodrygo Goes ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท hawaridhishwi na hali ya Mchezaji huyo ndani ya Real Madrid, kwa mujibu wa `The Athletic`! ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ‘€

๐Ÿ“‰ Inadaiwa kuna wasiwasi kuhusu nafasi yake kwenye kikosi baada ya kukaa benchi kwenye mechi 3 mfululizo! ๐Ÿ‘€
๐‘๐€๐’๐Œ๐ˆ: Klabu ya Bologna ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น imefikia makubaliano ya kumtwaa mshambuliaji Ciro Immobile ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น kutoka BeลŸiktaลŸ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท kwa mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na chaguo la kuongezewa msimu mwingine! ❤️๐Ÿ’™✍๐Ÿป

✅ Makubaliano ya maneno tayari yamekamilika!!

๐Ÿ‘€ Aidha, Federico Bernardeschi ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น naye atajiunga rasmi na Bologna kama mchezaji mpya, kama ilivyoripotiwa mapema wiki hii.
๐“๐‘๐€๐๐’๐…๐„๐‘: Yann Sommer ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ ni mmoja wa makipa walioko kwenye orodha ya Galatasaray kama chaguo jipya la mlinda mlango, lakini si chaguo pekee. ๐Ÿงค๐Ÿ‘€

๐Ÿ”Ž Klabu hiyo ya Uturuki inatazama majina kadhaa, na hadi sasa hakujakuwa na mawasiliano rasmi kati ya Galatasaray, mchezaji huyo au klabu yake ya Inter Milan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น.
๐„๐—๐‚๐‹๐”๐’๐ˆ๐•๐„: Sunderland wamekamilisha dili la kumsajili Noah Sadiki ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช kutoka Union Saint Gilloise! ✅๐Ÿ“

๐Ÿ” Makubaliano yamefikiwa na vipimo vya afya vimefanyika leo asubuhi — mkataba wake utamfunga hadi Juni 2030! ๐Ÿ‘€

๐Ÿ’ฐ Ada ya uhamisho ni €17m pamoja na nyongeza ya €3m.
๐‘๐€๐’๐Œ๐ˆ: Everton wamekubaliana dili la kumsajili mshambuliaji Thierno Barry ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท kutoka Villarreal kwa ada ya €35m pamoja na nyongeza! ๐Ÿ’™✍️

๐Ÿ”ต Mfaransa huyo anakuwa mchezaji mpya wa safu ya ushambuliaji chini ya David Moyes — nyaraka zinatarajiwa kusainiwa ndani ya saa 24.

๐Ÿ“Š Barry anakuja kuongeza makali katika kikosi cha Toffees, akiwa na nguvu na uwezo mkubwa wa kufunga.
๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Andrรฉ Onana hatarajii kuondoka Manchester United majira haya ya kiangazi, kwa mujibu wa `Daily Mail`! ๐Ÿงค๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ

➡️ Kipa huyo mkuu anabaki kwenye mipango ya Amorin kwa msimu wa 2025/26. 
๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Christian Mosquera amekataa mkataba mpya kutoka Valencia! ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

 Beki huyo chipukizi ana ndoto moja tu — kujiunga na Arsenal! ๐Ÿ˜ฎ
✅ Ameshakubaliana masharti binafsi na Arsenal siku chache zilizopita! 
๐Ÿ“‘ Mkataba uko tayari! 
๐Ÿ“ž Mazungumzo kati ya vilabu yapo hatua nzuri! 
 ITAKUWA rasmi baada ya kutimiza miaka 18, lakini...
๐Ÿ”ฅ LAMINE YAMAL tayari amepokea jezi ya namba 10 ndani ya Barcelona! ๐Ÿ’™❤️
Jezi hiyo mpya imeanza kuuzwa licha ya tangazo rasmi kusubiri hadi siku yake ya kuzaliwa, 13 Julai. ๐ŸŽ‚✨
๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Eberechi Eze ๐Ÿฆ…๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ yuko tayari kujiunga na Arsenal! ❤️๐Ÿค
๐Ÿ“ž Baada ya mawasiliano ya awali kuripotiwa Jumatatu, sasa mazungumzo kati ya Arsenal na Eze yamepiga hatua. Mchezaji huyo amevutiwa na mradi wa `The Gunners` chini ya uongozi wa Mikel Arteta. ๐Ÿ’ฌ๐Ÿ”ด⚪

✨ Arsenal pia wanafahamu masharti ya kifungu chake cha kuachwa (release clause) ambacho kinazidi £60M. ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ“„

๐Ÿ”œ Mazungumzo zaidi yanatarajiwa kuendelea…
LIVERPOOL yatangaza rasmi kuongeza makocha wawili kwenye benchi la ufundi la Arne Slot kwa msimu wa 2025/26! ๐Ÿ”ด✅

๐Ÿ‘จ‍๐Ÿซ Xavi Valero✅
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Giovanni van Bronckhorst✅

๐Ÿ—ฃ️ Mabadiliko haya yanalenga kuimarisha safu ya kiufundi kuelekea kampeni ya EPL msimu ujao! ๐Ÿ’ช
๐“๐‘๐€๐๐’๐…๐„๐‘: Bayern Munich watuma ofa mpya kwa Nico Williams! ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿ”ด๐Ÿ‘€

๐Ÿ† Mabingwa wa Bundesliga wamewasilisha maombi mapya ya kumnasa Mshambuliaji huyo baada ya Rais wa La Liga, `Javier Tebas`, kudai kuwa Barcelona hawawezi kumsajili kwa sasa....kwa mujibu wa Sky Germany!!! ๐Ÿ‘€๐Ÿ˜ฎ‍๐Ÿ’จ


0 Comments:

Post a Comment