Tunafunga kombe la dunia kama ifuatavyo.
Jumla ya Mechi= 64
Idadi ya – 169 (2.64 kwa mechi)
Wafungaji bora:⚽⚽⚽
1. H. Kane (England) – 6
2. K. Mbappé (France) – 4
3. Griezmann (France) – 4
4. C. Ronaldo (Portugal) – 4
5. R. Lukaku (Belgium) – 4
6. D. Cheryshev (Russia) – 4
7. Ivan Perišić (Croatia) – 3
8. M. Mandžukić (Croatia) – 3
9. E. Hazard (Belgium) – 3
10. D. Costa (Spain) – 3
11. E. Cavani (Uruguay) – 3
12. A. Dzyuba (Russia) – 3
13. Y. Mina (Colombia) – 3
14. P. Coutinho (Brazil) – 2
15. J. Stones (England) – 2
16. M. Salah (Egypt) – 2
17. L. Suárez (Uruguay) – 2
18. A. Granqvist (Sweden) – 2
19. L. Modric (Croatia) – 2
20. D. Neymar Jr. (Brazil) – 2
21. S. Agüero (Argentina) – 2
22. A. Musa (Nigeria) – 2
23. M. Jedinak (Australia) – 2
24. S. Heung-min (South Korea) – 2
25. W. Khazri (Tunisia) – 2
26. T. Inui (Japan) – 2
27. Goli 1 – Wachezaji 84
Magoli yaliyofungwa nje ya 18.
Cristiano Ronaldo (faulo)
Philippe Coutinho
Nacho
Luka Modrić
Aleksandr Golovin (faulo)
Aleksandar Kolarov (faulo)
Juan Quintero (faulo)
Granit Xhaka
Son Heung-min
Toni Kroos (faulo)
Jesse Lingard
Luis Suárez (faulo)
Mohamed Salah
Ricardo Quaresma
Angel Di Maria
Benjamin Pavard
Denis Cheryshev
Kieran Trippier (faulo)
Paul Pogba
Kylian Mbappé
Magoli ya kujifunga- 12
Aziz Behich (dhidi ya France)
Fernandinho (dhidi ya Belgium)
Ahmed Fathy (dhidi ya Russia)
Edson Álvarez (dhidi ya Sweden)
Aziz Bouhaddouz (dhidi ya Iran)
Oghenekaro Etebo (dhidi ya Croatia)
Thiago Cionek (dhidi ya Senegal)
Denis Cheryshev (dhidi ya Uruguay)
Sergei Ignashevich (dhidi ya Spain)
Yann Sommer (dhidi ya Costa Rica)
Yassine Meriah (dhidi ya Panama)
Mario Mandžukić (dhidi ya France)
Idadi ya matuta- 29
Zilizofungwa – 22
Wafungaji wa mikwaju ya penati
☑ Griezmann (3)
☑Kane (3)
☑ Jedinak (2)
☑ Granqvist (2)
☑ Hazard
☑ Kagawa
☑ Modric
☑ Salah
☑ Sassi
☑ Ronaldo
☑ Vela
☑ Al-Faraj
☑ Ansarifard
☑ Sigurdsson
☑ Moses
☑ Dzyuba
Zilizopotea – 7
✖ Ronaldo
✖ Sigurdsson
✖ Cueva
✖ Messi
✖ Al-Muwallad
✖ Modrić
✖ Ruiz
Mipira ya adhabu iliyofungwa- 7
Wafungaji wa faulo
Aleksandr Golovin
Cristiano Ronaldo
Aleksandar Kolarov
Juan Quintero
Toni Kroos
Luis Suárez
Kieran Trippier
Idadiya kadi nyekundu- 4
Idadi ya kadi za Njano- 219
Zawadi:
Mchezaji bora: Luka Modric (Croatia)
Mchezaji bora chipukizi: Kylian Mbappé (France)
Mfungaji bora: Harry Kane (England)
Mlinda lango bora: Thibaut Courtois (Belgium)
Walinda lango waliofanya uzembe uliozaa mabao(10):
Wojciech Szczesny
Manuel Neuer
Willy Caballero
Fernando Muslera
Danijel Subasic
Mohammed Al Owais
David De Gea
Franco Armani
Eiji Kawashima
Hugo Llloris
Wachezaji walionyakua tuzo ya mchezaji bora wa mechi mara nyini zaidi:
Griezmann (3)
Modric (3)
Hazard (3)
Kane (3)
Ronaldo (2)
Cheryshev (2)
Coutinho (2)
Mbappé (2)
Suárez (2)
Mgawanyo wa zawadi kwa njia fedha!
<Bingwa> – $38m
Mshindi wa pili – $28m
Mshindi watatu – $24m
Nafasiya nne – $22m
Timu zilizoishia robo fainali- $16m
Timu zilizoishia nafasi ya 16 bora- $12m
Timu zilizoishia makundi- $8M
Timu iliyoonesha nidhamu na utu zaidi: Spain
Orodha ya timu bora:
1. France
2. Croatia
3. Belgium
4. England
5. Russia
6. Sweden
7. Brazil
8. Uruguay
9. Colombia
10. Switzerland
11. Japan
12. Mexico
13. Denmark
14. Spain
15. Portugal
16. Argentina
17. Senegal
18. Poland
19. Tunisia
20. Panama
21. Korea Republic
22. Germany
23. Serbia
24. Costa Rica
25. Nigeria
26. Iceland
27. Peru
28. Australia
29. Iran
30. Morocco
31. Saudi Arabia
32. Egypt
MABINGWA WA HAPO AWALI:
1930 – Uruguay
1934 – Italy
1938 – Italy
1950 – Uruguay
1954 – Germany
1958 – Brazil
1962 – Brazil
1966 – England
1970 – Brazil
1974 – Germany
1978 – Argentina
1982 – Italy
1986 – Argentina
1990 – Germany
1994 – Brazil
1998 – France
2002 – Brazil
2006 – Italy
2010 – Spain
2014 – Germany
2018 – France
Mataifa yenye idadi kubwa ya Makombe.
Brazil – 5
Germany – 4
Italy – 4
Argentina – 2
France – 2
Uruguay – 2
England – 1
Spain – 1
Wanadamu waliowahi kutwaa kombe la dunia kama mchezaji na pia kama kocha:
1958 & 1970: Mario Zagallo
1974 & 1990: Franz Beckenbauer
1998 & 2018: Didier Deschamps
Mengineyo.
Wachezaji waliojiuzulu timu zao za taifa kufikia sasa baada ya kombe la dunia.
Javier Mascherano (Argentina)
Lucas Biglia (Argentina)
Andres Iniesta (Spain)
Keisuke Honda (Japan)
Sardar Azmoun (Iran)
Sergei Ignashevich (Russia)
Timu zilizoshiriki kombe la dunia mara nyingi zaidi.
Brazil – 21
Germany – 19
Italy – 17
Argentina – 17
Mexico – 16
France – 15
Spain – 15
England – 15
Belgium – 13
Uruguay – 13
Serbia – 12
Sweden – 12
Switzerland – 11
Russia – 11
USA – 10
Netherlands – 10
South Korea – 11
Hungary – 10
Czech Republic – 9
Chile – 9
Scotland – 9
Poland – 8
Paraguay – 8
Portugal – 7
Bulgaria – 7
Cameroon – 7
Romania – 7
Austria – 7
Japan – 6
Nigeria – 6
Colombia – 5
Saudi Arabia – 5
Australia – 5
Croatia – 5
Tunisia – 5
Iran – 5
Costa Rica – 5
Peru – 5
Morocco – 5
Denmark – 5
Algeria – 4
Ghana – 3
Ivory Coast – 3
Tanzania – 0
Wafungaji bora wa kombe la dunia muda wote:
1. M. Klose (16)
2. Ronaldo (15)
3. G. Muller (14)
4. J. Fontaine (13)
5. Pele (12)
6. S. Kocsis (11)
7. J. Klinsman (11)
8. T. Muller (10)
9. H. Rahn (10)
10. G. Batistuta (10)
11.G. Lineker (10)
12. Hakuna mtanzania yeyote
Vilabu ambavyo wachezaji wake wamefunga mabao mengi:
PSG – 12
Barcelona – 11
Tottenham – 11
Real Madrid – 10
Manchester United – 8
Atletico Madrid – 8
Manchester City – 5
Chelsea – 4
Liverpool – 4
Dortmund – 3
Inter Milan – 3
Juventus – 3
West Brom – 2
0 Comments:
Post a Comment