Thursday 9 August 2018

Diamond's cute message to Hamissa's son


Diamond Platnumz is blessed with children who were both in August; Tiffany adn Dylan

A Very Happy Birthday to the Next Platnumz…My Kitinda Mimba, Mswahili Mwenzangu, Maskini Mwenzangu…Mnyonge Mwenzangu…Mengi Uloyapitia Ukiwa mdogo, usiyejua hili wala lile yamenifanya nikupende sana na kuhakikisha nakulinda na kukutunza kwa hali yoyote ntayojaaliwa…Insha Allah Mwenyez Mungu akukuze vyema, akupe Akilu, Afya, Furaha na akubariki, kua uweUki Mwanamziki Kama mie baba ako, Uzidi kupendwa na ukifanikiwa uwainue Maskini wenzetu zaidi Mtaani….Happy Birthday My Handsome/ Young King / Young Lion / Young Simba/Young Dangote.


0 Comments:

Post a Comment