Thursday 9 August 2018

Simba Vs Namungo FC tomorrow

Baada ya kukamisha kwa mafanikio makubwa Tamasha la SIMBA DAY, mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamealikwa mkoani Lindi kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo FC wilayani Ruangwa.

Klabu hiyo imewaalika Simba katika uzinduzi wa uwanja wa Majaliwa wa timu hiyo ambayo iko katika jimbo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa.

0 Comments:

Post a Comment