Wednesday 8 August 2018

Simba Queens wins 2-0 against Sayari

Kabla ya mchezo wa siku, Simba dhidi ya Asante Kotoko, mapema akina dada wa Simba Queens walicheza mchezo wa utangulizi dhidi ya akina dada wenzao wa Sayari.

Akina dada hao wa Simba wamezidi kuipendezesha siku ya leo baada ya kushinda kwa mabao 2-0 kwenye mchezo uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa.

0 Comments:

Post a Comment