Wednesday, 21 April 2021

Pira Futari Lililopigwa Kaitaba

Jana Simba ilijiweka katika mazingira mazuri ya kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliopigwa uwanja wa kaitaba, Bukoba

Mabao ya Luis Miquissone na Chriss Mugalu yaliihakikishia Simba alama tatu muhimu zilizowafanya wafikishe alama 55

Hesabu zilizopo ni kuwa Simba inahitaji kushinda mchezo dhidi ya Gwambina Fc Jumamosi ili kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi kwani ushindi utawafanya wafikishe alama 58 na kuipiku Yanga yenye alama 57

Simba ilihitaji dakika 45 tu za kipindi cha kwanza kuimaliza Kagera Sugar

0 Comments:

Post a Comment