Thursday 20 July 2023

Chama Na Fabrice Ngoma Walivyowasili Uturuki

KIUNGO Mzambia, Clatous Chotta Chama baada ya kuwasili kwenye kambi ya Simba SC mjini Ankara nchini Uturuki kujiunga na wenzake kwa maandalizi ya msimu mpya.

Clatous Chama amewasili pamoja na mchezaji mpya, kiungo wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fabrice Luamba Ngoma aliyesajiliwa kutoka Al Hilal ya Sudan

0 Comments:

Post a Comment