Thursday, 20 July 2023

Wachezaji Wapya Wa Simba 2023/2024

Simba Sports Club pia inajulikana kama Simba ni klabu ya soka yenye makazi yake katika mtaa wa Kariakoo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania.

Leandre Willy Essomba Onana
Aubin Kramo Kouamé
Che Fondoh Malone Junior
David Kameta’Duchu’
Fabrice Luamba Ngoma
Shabani Idd Chilunda
Abdallah Hamis
Hussein Kazi

Simba ilianzishwa mwaka wa 1936, ikianza kama klabu iliyojitenga kutoka kwa timu nyingine kubwa ya soka nchini Tanzania, Dar Young Africans na iliitwa Queens kwa mara ya kwanza, kwa heshima ya Malkia wa Uingereza.

Simba baadae ilibadilishwa majina kadhaa kutoka Queens hadi Eagles, kisha Sunderland na mwaka 1971 ikabadilishwa jina na kuitwa Simba.

Simba SC imeshinda jumla ya mataji 22 ya Ligi na vikombe vitanobna imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.

Pia Simba ni miongoni mwa vilabu vikubwa Afrika Mashariki na Kati, baada ya kutwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba mechi zake za nyumbani hucheza kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kata ya Miburani Wilaya ya Temeke, Jijini Dar es salaam.

 Klabu hiyo iliorodheshwa kati ya vilabu kumi bora Barani Afrika, katika nafasi ya 10, na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Kandanda na Takwimu (IFFHS) katika viwango vyao vya Mei 1, 2022 – Aprili 30, 2023.

Duniani, klabu hiyo iliorodheshwa katika nafasi ya 105 katika Orodha ya Dunia ya IFFHS, Klabu hii pia ni mojawapo ya matajiri zaidi katika Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya TSh 6.1 bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

Performance in CAF competitions
CAF Champions League: 12 appearances

2002 – First Round
2003 – Group stage (Top 8)
2004 – Preliminary Round
2005 – First Round
2008 – First Round
2011 – Special play-off for Group stage
2013 – Preliminary Round
2018–19 – Quarter-finals
2019–20 – Preliminary Round
2020–21 – Quarter-finals
2021–22 – Second Round
2022–23 – Quarter-finals

African Cup of Champions Clubs: 9 appearances

1974 – Semi-finals
1976 – Second Round
1977 – Second Roun1978 – Second Round
1979 – Second Round
1980 – Second Round
1981 – First Round
1994 – Quarter-Finals
1995 – Second Round

CAF Confederation Cup: 6 appearances

2007 – Preliminary Round
2010 – Second Round
2011 – Play-off
2012 – Second Round
2018 – First Round
2021–22 – Quarter-finals
CAF Cup: 2 appearances
1993 – Finalist
1997 – First Round

0 Comments:

Post a Comment