Thursday 22 June 2023

Simba Yaachana Na Jonas Mkude

Miaka 13 Jonas alihudumu ndani ya SimbaSC kwa jasho na damu kwa mapenzi ya dhati hatimaye amepewa mkono wa kwa heri. Kila kitu kina mwisho wake , Simba wametangaza kuachana naye.



''Uongozi wa klabu unatoa shukrani za dhati kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye timu yetu kiungo mkabaji, Jonas Mkude katika muda wote wa miaka 13 aliyodumu nasi. Tunamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ya maisha ya soka nje ya Simba''.

0 Comments:

Post a Comment